Monday, October 22, 2012  IJUWE BARUA KUTOKA KANDA YA ZIWA-Kipindi Kipya cha Television Channel ten! Kila jumapili Saa 12;00 jioni

Ndugu  unaombwa kutazama kipindi kipya cha Television kiitwacho "Barua kutoka kanda ya Ziwa" kila siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni channel ten .Kipindi hiki  kimeishanza kurushwa
Kipindi hiki ni cha dk 30, ni kipindi cha kwenye field siyo studio na kwa asilimia kubwa mfumo wake ni wa uibuaji wa masuala yaliyojificha katika jamii hasa maeneo ya pembezoni hasa vijijini (Ni cha uchunguzi).Mtayarishaji mkuu wa kipindi hiki ni mimi mwenyewe .
Husikose kutazama kila jumapili saa 12:00 jioni. Ambao hawakuweza kutazama kipindi kilichopita mnaweza kukitazama online hapa chini. 
 

Email ya kipindi ni baruatv@hotmail.com
Mungu awabariki sana
Wasalaam,
Mathias Byabato
0754 527358
Host-Barua Kutoka Kanda ya Ziwa

No comments:

Post a Comment