Wednesday, October 10, 2012

Siku Ya Kupinga Adhabu Ya Kifo Duniani

Leo, LHRC imeungana na wanaharakati wa kupinga adhabu ya kifo duniani. 

 Maadhimisho ya leo yamefanyika kwa kuwa na mdahalo wa kufana sana na ushuhuda wa mmoja wa waathirika wa adhabu ya kifo, aliyeponea tundu la sindano kunyongwa, japo amekaa gerzani kwa zaidi ya miaka 18, kwa kosa ambalo hakulitenda! 

 Wenzetu wa Ubalozi wa Uingereza, mashirika rafiki, wanavyuo wa vyuo vya elimu ya juu, wanafunzi wa sekondari (Kibasila), wanahabari na wananchi wa kawaida kabisa walijuika. Miongoni mwa mengi yaliyoongelewa, sababu zifuatazo zilikubaliwa kuwa ni chachu ya kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo:

No comments:

Post a Comment