Wednesday, October 10, 2012

Makamu Wa Rais Ahudhuria Maadhimisho Miaka 50 Ya Uhuru Wa Uganda


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal. 

                     Picha na Amour Nassor

No comments:

Post a Comment