Saturday, October 27, 2012

UCHAFUNZI WA MAZINGIRA ZIWA VICTORIA UNATISHAWanyama aina ya Punda wakiwa wamebeba mchanga uliokuwa unachimbwa katika ufukwe wa ziwa victoria kwenye mwalo wa Igombe jijini mwanza shughuli nyingi za kibinadamu zinazofanyika katika mwalo huo zinachangia uharibifu wa mazingira


wanahabari kutoka mikoa mbalimbali ya tanzania bara na visiwani wakishuhudia uharibifu wa mazingira baada ya mafunzo ya siku nne mkoani Mwanza

Mwezeshaji wa mafunzo hayo ya uandishi wa habari za mazingira Bw. Deo Mfugale akiwaongoza wanahabari wakati wa ziara ya mafunzo mwalo wa Ibombe ikiwa ni hatua ya mwisho ya mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment