Tuesday, May 21, 2013

Kila Mtu Anawaza Lake

Sehemu ya madiwani wa manispaa ya Bukoba wakiwa katika mkutano wa baraza, baadhi ya madiwani wamekuwa wakigoma kuhudhuria vikao hivyo na kusababisha orodha ya wajumbe wanaotakiwa kisheria kutotimia.Picha kwa hisani ya Kagera yetu blog

No comments:

Post a Comment