Tuesday, May 21, 2013

Bungeni


1 89ca1
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na Naibu wake Mhe. Amos Makalla bungeni kabla ya kusomwa kwa bajeti ya Wizara hiyo.
Angalia Picha zaidi....

2 661ef
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2013/2014 leo Bungeni
3 737a2
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima, akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ndani ya ukumbi wa Bunge leo.
4 70aee
Mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkarim Shah akiuliza swali la nyongeza bungeni
Rate this item

No comments:

Post a Comment