Thursday, July 11, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa kijiji cha  Mbela wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013.  Wapili kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu) Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo
Katoliki la Njombe,Alfred Maluma  kabla ya kuwaslimia wananchi  katika
misheni ya Ilembula wilayani Wanging'ombe akiwa katika ziara ya mkoa
wa Njombe Julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu) Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda akipokea mau kutoka kwa
Skauti wakati alipoingia kwenye  Wilaya  ya Njombe akiongozana na
Waziri Mkuu  katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 8, 2013.  Kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba. (picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza.

No comments:

Post a Comment