Thursday, July 4, 2013

WAZIRI MKUU NA MABALOZI

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wateuli watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni Anthony Cheche (DRC), Chabaka  kilumanga (Comoro), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo, (China), Liberata mulamula (Marekani). , Wilson Masilingi (uholanzi), Mbarouk Nasoro Mbarouk (UAE) na Modest Maro ,(Umoja wa Mataifa - Geneva. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment