Thursday, July 4, 2013

NCHIMBI ABADILISHA​NA MAWAZO NA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

PIX 2 de938
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akimsikiliza kwa makini mmoja wa viongozi wa dini (kulia) wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati walipokuwa wakijadiliana masuala mbalimbali ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
PIX 3 88a80
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo katika mazungumzo hayo. Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
hdg

No comments:

Post a Comment