TASAF yatoa elimu kwa wanahabari juu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini
Mkurugenzi
wa Huduma za jamii kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) Amadeus
Kamagenge akitoa mada leo kwa baadhi ya waandishi wa habari na wahariri
kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwenye warsha ya siku mbili ya kujenga
uelewa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini wa awamu ya tatu inayoendelea
kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo
Ni Baadhi
ya waandishi wa habari na wahariri kutoka Tanzania Bara na Zanzibar
wakiwa katika ya warsha siku mbili leo ya kujenga uelewa wa mpango wa
awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya
Oceanic Bay, Bagamoyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii(TASAF)
Afisa
Uhawilishaji fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Edith
Mackenzie akifafanua jambo leo katika ya warsha siku mbili ya kujenga
uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea
kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.(P.T)
Mkurugenzi
Mtendaji wa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus Mwamanga
akifafanua jambo leo kwa baadhi ya waandishi wa habari na wahariri
kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwenye warsha siku mbili ya kujenga
uelewa wa mpango wa kunusuru kaya masikini wa awamu ya tatu inayoendelea
kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.
Baadhi ya
waandishi wa habari kutoka Zanzibar wakiwa katika ya warsha siku mbili
leo ya kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya
masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo
iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF).
Msanifu
wa gazeti la Uhuru ,Lilian Timbuka akiuliza swali leo kuhusu mpango wa
kunusuru kaya masikini kwenye warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa
mpango wa kunusuru kaya masikini wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye
hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.
Baadhi ya
waandishi wa habari na wahariri kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii(TASAF) , wa tatu kutoka kushoto waliokaa ni Mkurugenzi Mtendaji wa
na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus Mwamwanga mara baada
ya kufunguliwa kwa warsha ya siku mbili leo ya kujenga uelewa wa mpango
wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya
Oceanic Bay, Bagamoyo.
Mtaalamu
wa Habari na Mawasiliano kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF),
Zuhura Mdungi akifafanua jambo leo katika ya warsha siku mbili ya
kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini
inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.
Picha na Magreth Kinabo
No comments:
Post a Comment