Baadhi ya maoofisa wa mamlaka ya mapato mkoani Kagera wakisikiliza
hotuba ya ufunguzi iliyokuwa inatolewa na mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi
Ziporah Pangani.
Mmoja wa maofisa wa TRA
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Ziporah Rion Pangani akitoa hotuba ya ufunguzi wa wiki ya mlipa kodi ulifanyika kwenye ukumbi wa chama cha msalaba mwekundu.
Mameneja wa TRA, kulia ni Bw. Mgimba na kushoto ni Magere.
KIKAO CHA MTANDAO UNAOYAUNGANISHA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KAGERA
Wajumbe halali wa KANGONET.
Wajumbe wengine.
Bw. Kiiza alikuwa mmoja wa walioudhuria kikao cha KANGONET, wajumbe wa mtandao huo walikuwa wakulalamikia uongozi ulioko madaraka ambao ni pamoja na Katibu Christan Byamungu na mwenyekiti Yusto Mchuruza, walisema viongozi hao hawana imani nao.
Kimani na Michael.
Afisa maendeleo ya jamii mkoani Kagera Charles Mwafimbo ndiye aliyeongoza kikao hicho.
No comments:
Post a Comment