Monday, January 20, 2014

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko  yaliyokikumba kijiji cha  Chipogoro wilayani Mpwapwa Januari 17, 2014.  Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Tewu na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko katika kijiji cha Fufu wilayani Chamwino, Dodoma, Januari 17, 2014.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema nchimbi na kulia kwake ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua  daraja ambalo lilizibwa na  maporomoko ya maji yaliyoambatana na magogo , mawe na udongo na  kusababisha  mafuriko katika  kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa januari 17,20134. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment