Monday, January 20, 2014
Kiapo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam
Wageni wa heshima.
Picha ya pamoja.
WAZIRI MKUU AKIKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua marekebisho yanayofanyika katika
ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya
Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyokikumba
kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa Januari 17, 2014. Kulia kwake ni
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Tewu
na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko katika kijiji cha Fufu wilayani Chamwino, Dodoma, Januari 17, 2014.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema nchimbi na kulia kwake ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua daraja ambalo lilizibwa na maporomoko ya maji yaliyoambatana na magogo , mawe na udongo na kusababisha mafuriko katika kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa januari 17,20134. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Thursday, January 16, 2014
NYUMBA INAPANGISHWA NA NI NYUMBA YA KISASA IPO MAENEO YA IHUNGO KARIBU NA KOLPING MIDIUM PRIMARY SCHOOLKATIKA KATA YA BUHEMBE
Sehemu ya mbele ya nyumba Inayopangishwa Katika muonekana
Kwa Muonekano Zaidi
Ndani ya nyumba hiyo Kwa muonekano wa sebuleni
Kwa Muonekano Mzurii
Sehemu ya Chakula Dinningg
Sehemu ya Nyuma ya nyumba hiyo inaayopangishwa
Nyumba hii ina Vyumba vinne vya kulala Sebule nzuri sehemu ya chakula,Stoo Choo na bafu ya ndani na chumba maalu au Master Bed Room ambayo inajitegemea kwa choo na bafu unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0764493111 au 0782813387 bei ni maelewano na mazingira ya kuridhisha.

Subscribe to:
Posts (Atom)