Bukoba Jamii
Unaweza kutoa maoni kwa kupiga simu no 0764493111
Saturday, March 3, 2012
WAKAZI BUKOBA TUFANYE USAFI MJI UPENDEZE
USAFI MUHIMU hawa ni wakazi wa eneo la Uswahilini Kata ya Bilele Bukoba Mjini wakifanya usafi eneo ambalo takataka zilikuwa zimetupwa ovyo ovyo bila ya kuwekwa sehemu maalum! huu ni mfano wa kuigwa katika suala la usafi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment