Tuesday, March 6, 2012

Pamoja na kwamba anatilia mkazo suala la usafi na utunzaji wa mazingira bado mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Massawe ni mmoja wa wapanda miti maarufu mkoani Kagera, hapa akipanda miti ikiwa ni kampeni ya utunzaji mazingira wilayani Biharamulo

No comments:

Post a Comment