Wednesday, May 16, 2012

Hii Picha Bado Naikumbuka

Huyu mama alipita maeneo ya ofisi ya Chama cha wana habari Kagera alikuwa anauza mikeka anayoitengeneza yeye Mwenywewe Pamoja na umri mkubwa aliokuwa nao hapa ananadi biashara yake mi mwenywe nilimkubali.

No comments:

Post a Comment