Monday, July 8, 2013

yanga wabunge yainyuka simba 4-3,Tamasha la matumaini dar


bunge 58be0
Yanga wabunge wakipasha kabla ya kuanza kwa mchezo katika Tamasha la Matumaini Dar (HM)

jk2 17b4b
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi walioohudhuria kwenye tamasha la maatumaini
fenela 5bfa9
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Fenela Mukangara akizungumza kwenye tamasha hilo
shigongo 46ca5
Eric Shigongo akizungumza kwenye tamasha hilo
simba 03937
Simba wakijifua kabla ya mchezo wao na wabunge wa Yanga

MDEE VS WOLPER NA AUNTY EZEKIEL VS BULAYA watoka SARE


10 4f8b7
Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10. (HM)

20 cebd9
Wolper na Mdee wakipambana vikali
30 53512
Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Pambano lao liliisha kwa sare pia. Chanzo: Shaffihdauda

Saturday, July 6, 2013

Kagasheki Cup Yaanza mjini Bukoba Kombe Hilo linadhaminiwa na Mbunge Wajimbo la Bukoba Mjini Barozi Hamis Kagasheki Mbalo Linajumisha Jumla Ya Kata 14 Katika Manispaa Ya Bukoba




Kikosi cha Timu ya Hamugembe
Kikosi cha timu ya Bakoba

Utawapenda Tu

YANGA yatoa sare na KCC CCM KIRUMBA

Yanga1 3c0c6
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga (HM)
MABINGWA wa soka Tanzania bara, vijana wa mitaa ya Twiga na Jangwani, Klabu ya Yanga ya Dar es salaam wameshindwa kutamba mbele ya KCC ya Uganda baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa kwanza wa kirafiki wa ziara ya klabu hiyo kanda ya ziwa ambao umepigwa katika dimba la chama cha Mapinduzi CCM Kirumba.
Yanga walikuwa wa kwanza kuandika bao kimiani katika dakika 40 ya kipindi cha kwanza kupitia kwa nyota wao mpya Khamis Thabit, na KCC walisawazisha dakika za lala salama baada ya mchezaji  Kivuma Winy kutumia vyema makosa ya mabeki wa Yanga.
Yanga wameshaanza ziara ya kuwaonesha kombe lao mashabiki wao wa kanda ya ziwa na kucheza mechi za kirafiki za kujipima uwezo kabla ya kuanza  kutetea ubingwa wao wa ligi kuu walioutwaa msimu uliopita na kuwapokonya wanamsimbazi Simba SC.
Baada ya mchezo kumalizika, kocha msaidizi wa Yanga, Fred Ferlix Minziro amesema timu yao imejitahidi sana kucheza ikizingatiwa kuwa wamefanya mazoezi ya siku tatu tu.
“Kwanza tunamshukuru Mungu kucheza mechi hii ya kwanza, kikosi kimeonesha uwezo mkubwa ingawa kimefanya mazoezi ya siku tatu. KCC wametoka kushiriki kombe la Kagame kule Sudan na ndio maana wamecheza kwa uzuri”. Alisema Minziro.
Minziro aliongeza kuwa wachezaji wa Yanga wameonesha kiwango kizuri ingawa  bado wanahitaji mazoezi zaidi kabla ya kuanza mitange ya ligi kuu soka Tanzania bara.
Baada ya mchezo wa leo, kesho siku ya sabasaba katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga, Yanga na KCC watarudiana tena na kuwapa nafasi mashabiki wa mkoa huo kukiona kikosi chao.
Na julai 11 watashuka katika dimba la Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora dhidi ya maafande wa Rhino Rangers ambao wamepanda kucheza ligi kuu soka Tanzania bara msimu ujao.
Wanandinga wa Yanga leo hii walikuwa ni Kipa Deogratius Munishi ‘Dida’, Juma Abdul, Oscar Joshua, Rajab Zahir, Mbuyu Twite, Salum Telela, Nizar Khalfan/Said BahanuzI, HamisI Thabit/Bakari Masoud (Yanga B), Jerry Tegete, Didier Kavumbangu/Sospeter Mhina (Yanga B) na Abdallah Mguli (Yanga B). Chanzo: Baraka Mpenja

Maisha Yanae...............

DSC 0656 bf98a
DSC 0657 917c8
Hivi ndivyo tunavyo pakia,muhimu kufika.PICHA NA HUDUGU (mjengwabog)

Magazeti

DSC 0087 74618
DSC 0088 cb54d
DSC 0089 f7aad
DSC 0090 67cdc
DSC 0091 d684c
DSC 0092 d5b6b
DSC 0093 41497
DSC 0094 3d58c
DSC 0095 52548

DSC 0096 41a71
DSC 0097 36e40
DSC 0098 a1cbe
DSC 0099 a95e4

Mwenge Waendela Mkoani Kagera Wabakiza Wilaya Za Ngara Na Biharamulo

Mwaka Huu Wetu


ARSENAL WAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

gana edbdc
Theo Walcott akifanya mazoezi (HM)
gana2 0be6b
gana3 fe806
gana4 b7d25
NYOTA wa uzito wa juu wa Arsenal wamerejea mazoezini jana asubuhi huku kikosi cha Arsene Wenger kikianza maandalizi ya msimu mpya.
The Gunners wakielekea kwenye kampeni ya kushinda taji la kwanza kwa zaidi ya miaka nane, wachezaji walifanya mazoezi mepesi ya kukimbia na kunyanyua vitu vizito katika Uwanja wao wa mazoezi wa Colney, London. 

Mashabiki wa Arsenal watamuona Jack Wilshere akifanya mazoezi kikosini, na wengi wakiamini uimara wa nyota huyo wa England ni dalili nzuri kwa kikosi cha Wenger kuelekea msimu mpya. Chanzo: sportmail


Magazeti


DSC 0001 77e49
DSC 0002 947bd
DSC 0003 f740d
DSC 0004 603dd
DSC 0005 b6e95

DSC 0006 27ae4
DSC 0007 1f1a1
DSC 0008 ba47b
DSC 0009 b70a6
DSC 0010 1f9b8
DSC 0011 a8888
DSC 0012 e1456DSC 0013 69604

Maisha Yanae...............

Roli 1 ee1f2
Roli la mizigo lililofungwa minyororo nje ya soko la manispaa ya Dodoma kwa madai ya Magali yenye uzito wa zaidi ya tani 10 kutoruhusiwa kuingia mjini ili kuepusha uharibifu wa barabara, magali yenye uzito huo huelekezwa njia za kuingilia sokoni hapo.[PICHA NA JOHN BANDA]
hdg

CHADEMA YAITISHA KIKAO CHA KAMATI KUU

chadema-logo-i2 493adKAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kwa siku mbili mfululizo, kuanzia tarehe 6-7 Julai, 2013, jijini Dar es Salaam.
Katika muda huo wa siku mbili, kikao hicho kitajadili masuala mbalimbali, ambapo agenda zitakuwa; Rasimu ya Katiba Mpya, taarifa ya hali ya siasa nchini, taarifa juu ya mfumo wa uendeshaji wa chama kwa kanda (uzinduzi) na taarifa juu ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 26, uliofanyika Juni 16, 2013.
Kupitia agenda za kikao hicho, Kamati Kuu ya CHADEMA, itajadili, kuazimia na kutoa msimamo wa chama juu ya masuala ya kitaifa na mengine yanayohusu maeneo mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kufanikisha moja ya malengo ya chama ambayo ni pamoja na kutoa uongozi bora, sera sahihi, mikakati makini na oganaizesheni thabiti kwa ajili ya maendeleo endelevu ya jamii nzima ya Watanzania
Tumaini Makene
Ofisa Mwandamizi wa Habari.
hdg

Hii Kali

Jk KUWA REFA MECHI YA WABUNGE‏

RAISKIKWETE 5ec5dMhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalo fanyika Jumapili hii, Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aidha, Rais atahutubia katika tamasha na pia atakuwa refa wa mechi za wabunge wa Yanga na Simba.
hdg