Monday, October 22, 2012



  IJUWE BARUA KUTOKA KANDA YA ZIWA-Kipindi Kipya cha Television Channel ten! Kila jumapili Saa 12;00 jioni

Ndugu  unaombwa kutazama kipindi kipya cha Television kiitwacho "Barua kutoka kanda ya Ziwa" kila siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni channel ten .Kipindi hiki  kimeishanza kurushwa
Kipindi hiki ni cha dk 30, ni kipindi cha kwenye field siyo studio na kwa asilimia kubwa mfumo wake ni wa uibuaji wa masuala yaliyojificha katika jamii hasa maeneo ya pembezoni hasa vijijini (Ni cha uchunguzi).Mtayarishaji mkuu wa kipindi hiki ni mimi mwenyewe .
Husikose kutazama kila jumapili saa 12:00 jioni. Ambao hawakuweza kutazama kipindi kilichopita mnaweza kukitazama online hapa chini. 
 

Email ya kipindi ni baruatv@hotmail.com
Mungu awabariki sana
Wasalaam,
Mathias Byabato
0754 527358
Host-Barua Kutoka Kanda ya Ziwa

MPANGO WA JESHI LA POLISI LA KUWAPIMA WANANCHI KWA HIARI WACHANGAMKIWA





Mganga mkuu wa jeshi la polisi mkoani Kagera Dr. Husein Gamu, ambaye amehamasisha mpango mzima  wa kuwapima vipimo vya UKIMWI kwa  hiari  zoezi hilo lilifanyika eneo la standi kuu ya mabasi iliyoko katika manispaa ya Bukoba na kuhudhuriwa na watu wengi hususani vijana.

Wanaharakati Wapewa Mafunzo Ya Kujilinda


Francis Godwin (kushoto) akipokea cheti maalum baada ya  kuhitimu mafunzo ya ulinzi kwa wanaharakati wa haki za binadamu yaliyotolewa na Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRD) jijini Dar es Salaam jana. Anayekabidhi  cheti ni mgeni rasmi katika hafla hiyo Mwanaharakati Dk. Azaveli Lwaitama. Katika mafunzo hayo jumla ya  wanahabari watatu ndio walionufaika na mafunzo. Mbali ya Godwin wengine ni Saed Kubenea na Keneth Simbaya.



Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UPTC) Kenneth Simbaya akikabidhiwa cheti chake.




Mwenyekiti wa Bodi ya THRD, Bi Matrida Kabisama akikabidhiwa cheti chake na Lwaitama.
Mdau Benny alikuwa miongoni mwa washiriki.


Saida Amour kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akipokea cheti.




Neema Ole Ndemno kutoka Arusha akipokea cheti.
 Francis Godwin (mwenye suti mbele) akiwa na  wanaharakati wengine wa haki za binadamu baada ya  kumaliza mafunzo ya ulinzi kwa watetezi wa haki za binadamu jana.

JK Akutana Na Ujumbe Wa Kenya


Rais JAkaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  chama cha TNA. Kushoto kwa Rais ni Waziri wa Sheria wa Kenya Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford Kenya. 
Wengine ni Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA  Bi Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda (kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam Jumapili Oktoba 21, 2012
  Rais JAkaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na  Waziri wa Sheria wa Kenya Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford Kenya. Kulia kwake  Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  chama cha TNA. Kushoto kwa Rais ni  
Wengine ni Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA  Bi Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda (kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam Jumapili Oktoba 21, 2012

Rais JAkaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa  chama cha TNA, Waziri wa Sheria wa Kenya Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford Kenya, Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA  Bi Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda (kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam Jumapili Oktoba 21, 2012

PICHA NA IKULU

Magazeti Magazeti





Wednesday, October 10, 2012

 Baadhi ya wakuu wa wilaya mkoani Kagera, kutoka kushoto ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi. Ziporah Pangani, mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali mstaafu Issa Njiku.
 Baadhi ya washiriki wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Kagera.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe akiwahutubia wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa huo.
 Baadhi ya viongi[ozi mkoani Kagera walioudhuria kikao cha bodi ya barabara.

Picha Ya Wiki Kuhamisha Masalia Ya Rugambwa Kanisa kuu Bukoba


Monday, October 8, 2012

MAZISHI YA RUGAMBYA KATIKA PICHA



Masalia ya mwili wa karidinali Rugambya ukishushwa kutoka kwenye gari la kifahali ililoubeba wakati wa kuhuhamisha kutoka kashizo kwenda kanisa kuu jimbo la Bukoba


KONGAMANO LA WAANDISHI WA HABARI KAGERA

 Mshiriki wa kongamano Joshua Kyalukamba akiwasilisha jambo wakati wa kongamano.
Baadhi ya viongozi wa chama cha waandishi mkoani Kagera (KPC) na meya wa manispaa ya Bukoba Anatory Amani aliyevaa suti nyeusi.

Wawakilishi wa viongozi wa serikali kulia ni mwakilishi wa ofisi ya mkuu wa mkoa na kushoto mwakilishi wa ofisi ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kager

WAWAKILISHI WA KAMPUNI YA FINLAND INYONUNUA KAHAWA YA KCU WAKO KAGERA

Meneja wa masoko ya nje John Kanjagaile akisisitiza jambo mbele ya wawakilishi toka nchini Finland inayonunua kahawa inayokusanywa na chama cha ushirika mkoani Kagera (KCU).

WAZIRI WA CHAKULA, USHIRIKA NA KILIMO AKUTANA NA UONGOZI WA KCU

Mwenyekiti wa chama cha ushirika mkoani Kagera (KCU) John Binunshu, akitoa taarifa ya chama hicho.
 Waziri wa chakula ushirika na kilimo Mhandisi Christopher Chizza akiongea na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kagera na uongozi wa KCU, alikisifia chama hicho kwa utendaji mzuri wa kazi.
 Baadhi ya viongozi wa KCU wakimsikiliza Chizza, kutoka kulia ni Clement Ndyamkama katibu tawala wa wilaya ya Bukoba, Vedasto Ngaiza Meneja wa KCU, Mtayabalwa mkaguzi wa ndani wa KCU na mwisho kulia ni meneja masoko wa KCU Bw. Festo.
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi. Ziporah Pangani akimwelezea Waziri Chizza jinsi magendo inavyoathiri biashara ya kahawa mkoani Kagera.

Makamu Wa Rais Ahudhuria Maadhimisho Miaka 50 Ya Uhuru Wa Uganda


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal. 

                     Picha na Amour Nassor

Siku Ya Kupinga Adhabu Ya Kifo Duniani

Leo, LHRC imeungana na wanaharakati wa kupinga adhabu ya kifo duniani. 

 Maadhimisho ya leo yamefanyika kwa kuwa na mdahalo wa kufana sana na ushuhuda wa mmoja wa waathirika wa adhabu ya kifo, aliyeponea tundu la sindano kunyongwa, japo amekaa gerzani kwa zaidi ya miaka 18, kwa kosa ambalo hakulitenda! 

 Wenzetu wa Ubalozi wa Uingereza, mashirika rafiki, wanavyuo wa vyuo vya elimu ya juu, wanafunzi wa sekondari (Kibasila), wanahabari na wananchi wa kawaida kabisa walijuika. Miongoni mwa mengi yaliyoongelewa, sababu zifuatazo zilikubaliwa kuwa ni chachu ya kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo:

NHIF Lindi Waadhimisha Siku Ya Afya Ya Akili Duniani


 WAANDAMANAJI WAKIWEMO WATUMISHI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA AMBAYE  ALIMWAKILISHA WAZIRI WA WA AFYA NA USTAWI WA JAMII HAYUPO PICHANI.
 MWAKILISHI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA LINDI FORTUNATA RAYMOND AKITOA UFAFANUZI KWA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA WAKATI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO HUO KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA AKILI  DUNIANI KITAIFA IMEFANYIKA MKOANI LINDI KATIKA VIWANJA VYA ILULU.
 .MENEJA WA KANDA YA KUSINI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA JOYCE SUMBWE AKIMKABIDHI ZAWADI MKUU WA MKOA WA LINDI BAADA YA KUTEMBELEA BANDA LA MFUKO HUO.
.
SONONA NI JANGA LA KITAIFA...