Thursday, July 4, 2013
NCHIMBI ABADILISHANA MAWAZO NA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akimsikiliza
kwa makini mmoja wa viongozi wa dini (kulia) wa Mkoa wa Dar es Salaam
wakati walipokuwa wakijadiliana masuala mbalimbali ofisini kwake jijini
Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo katika mazungumzo hayo. Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
hdg
Wednesday, July 3, 2013
Maonyesho Ya Sabasaba Mjini Bukoba Katika Viwanja vya CCM
tigo kama kawa
wadada mambo yenu yale yapo
viatu vimesheeni
nguo za kike na kiume zimesheeni
Wakazi wa mjin wa bukoba Wakiendelea kutembelea mabanda na kujipatia bidhaa Mbalimbali
Mwenge Manispaa Ya Bukoba
kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa juma ally sumai akitoa maelezo kuhusu ujumbe wa mwenge 2013
umati mkubwa jukwaa kuu
Lolote Laweza Tokea
Thursday, June 27, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)

