Monday, July 15, 2013
Majambazi Yateka Mabasi Kagera
|
|
|
|
Wenje Ndani Ya Bukoba Mjini
Thursday, July 11, 2013
ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MKOANI IRINGA
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo
Katoliki la Njombe,Alfred Maluma kabla ya kuwaslimia wananchi katika
misheni ya Ilembula wilayani Wanging'ombe akiwa katika ziara ya mkoa
wa Njombe Julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda akipokea mau kutoka kwa
Skauti wakati alipoingia kwenye
Wilaya ya Njombe akiongozana na
Waziri Mkuu katika ziara ya
mkoa wa Nombe Julai 8, 2013. Kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba.
(picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza.
Mashindano Ya Kagasheki Cup Yanaendelea Katika Uwanja Wa Kaitaba
wadau wakifatilia kabumbu kwa hali ya juu sana na makini
Subscribe to:
Posts (Atom)