Monday, July 15, 2013

Magazeti


DSC 0005 13483
DSC 0006 1d113
DSC 0007 2c471
DSC 0008 6eefb
DSC 0009 ee0f0

DSC 0010 3b97c
DSC 0011 16ad0
DSC 0012 6cefc
DSC 0013 5a4ce


DSC 0016 efb81
DSC 0017 4f3cb
DSC 0018 6db76
DSC 0019 00396


Maisha Yanae...............

LUVU DARAJANI 260 430d0
Picha na Said Ng'amilo (MJENGWABLOG  RUVU DARAJANI)

Majambazi Yateka Mabasi Kagera


•  Yapora bunduki za polisi, abiria
 
Na  Ashura Jumapili, Kagera

MAJAMBAZI wapatao 10 waliokuwa na silaha za kivita aina ya SMG 6 na LMG 2 wameteka magari mbalimbali yakiwamo mabasi mawili ya abiria na kupora bunduki ya Jeshi la Polisi aina ya SMG katika pori la Hifadhi ya Biharamulo mkoani Kagera.

Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Philip Kalangi, alisema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 2:30 asubuhi katika Kijiji cha Kasindaga, eneo lijulikanalo  kama Mlima wa Simba kwenye pori la Hifadhi ya Biharamulo.

Majambazi hao licha ya kupora bidhaa mbalimbali za abiria, walimpiga risasi na kumjeruhi vibaya shingoni abiria mmoja aliyefahamika kwa jina la Frederick Rugahiula (47) mkazi wa Bukoba, mkoani Kagera.

Kamanda Kalangi alitaja mabasi ya abiria yaliyotekwa kuwa ni RS, lenye namba za usajili T 495 AGT, lililokuwa likitokea Bukoba kuelekea jijini Dar es Salaam na NBS T 644 BUR, lililokuwa likitokea Bukoba kuelekea Arusha.

Alisema baada ya kuteka mabasi hayo majambazi hao wanaoshukiwa kuwa ni raia wa nchi moja jirani kutokana na lafudhi ya maneno waliyokuwa wakiongea, waliwashusha abiria na kuwapora simu za mikononi pamoja na fedha taslimu. Pia walipora bunduki ya Jeshi la Polisi aina ya SMG yenye namba 14302551 iliyokuwa mikononi mwa polisi.

Alisema wakati wakiwa katika harakati za kuwapora abiria, askari polisi waliokuwa katika basi la Mohammed Trans lililokuwa nyuma ya mabasi hayo, waligundua kuwa wenzao wametekwa, ndipo walipoanza kuwashambulia majambazi hao na kuzuka majibizano makali ya risasi.

Kamanda huyo aliongeza kuwa askari polisi wapatao wanne waliokuwa wakisindikiza mabasi hayo walizidiwa nguvu kutokana na uchache wao, hivyo wakaamuru kugeuza basi hilo na kukimbia kwa ajili ya kutafuta msaada zaidi.

Akielezea tukio hilo lilivyotokea, Kamanda Kalangi alisema, kwanza majambazi hayo yaliteka gari dogo na kuzuia njia kana kwamba limeharibika, hivyo mabasi yalipofika yalilazimika kusimama na ndipo yalipotekwa.

Hadi sasa hakuna mtu aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo na kuwa msako mkali unaendelea kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori katika eneo la Hifadhi ya Burigi na pori la Biharamulo.

Aliongeza kuwa Jeshi la Polisi linahitaji ushirikiano wa pamoja katika kukabiliana na matukio ya uhalifu, kwa kuzingatia kuwa watendaji wake ni wachache na maeneo ni makubwa.

Hata hivyo alisema kuwa Mkoa wa Kagera  unaathirika zaidi na wageni wanaotoka nchi jirani zilizokuwa katika vita, wanaoingiza silaha ambazo zinatumiwa na majambazi kwenye matukio ya uhalifu.

Wenje Ndani Ya Bukoba Mjini

People's!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform kumbuka Mh. Wenje ni tangu mwaka 2011 ndiyo ilikuwa mara yake mwisho kuja hapa.


Thursday, July 11, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa kijiji cha  Mbela wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013.  Wapili kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)



 Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo
Katoliki la Njombe,Alfred Maluma  kabla ya kuwaslimia wananchi  katika
misheni ya Ilembula wilayani Wanging'ombe akiwa katika ziara ya mkoa
wa Njombe Julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)



 Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda akipokea mau kutoka kwa
Skauti wakati alipoingia kwenye  Wilaya  ya Njombe akiongozana na
Waziri Mkuu  katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 8, 2013.  Kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba. (picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza.

Mashindano Ya Kagasheki Cup Yanaendelea Katika Uwanja Wa Kaitaba





wadau wakifatilia kabumbu kwa hali ya juu sana na makini
Wadau jukwaani wakifatilia soka uwanja wa Kaitaba

Magazeti


DSC 0698 26556
DSC 0699 ee11e
DSC 0700 28c9b
DSC 0701 303b2
DSC 0702 61b10

DSC 0703 a9115
DSC 0704 01e10
DSC 0705 567ab
DSC 0706 bc921
DSC 0707 96caf
DSC 0708 4fbb5
DSC 0709 6734c